ST JOHN PAUL II SECONDARY SCHOOL
ST JOHN PAUL II SECONDARY SCHOOL
ST JOHN PAUL II SECONDARY SCHOOL
ST JOHN PAUL II SECONDARY SCHOOL
ST JOHN PAUL II SECONDARY SCHOOL

ELIMU BORA

Tunatoa elimu bora inayolenga kuwafanya wanafunzi kuwa bora kitaaluma pamoja na kujenga ushindani wa kitaaluma nchini.

MAZINGIRA BORA

Shule ipo katika mazingira rafiki ambayo yanamwezesha mwanafunzi kujifunza na kujisomea kwa ufanisi zaidi.

MALEZI BORA

Tunawajenga wanafunzi katika maadili mema, utu, upendo na kuthaminiana.
"EDUCATION & MORALITY"

Karibu ST. John Paul II Sekondari

Karibu Shule ya sekondari ya ST John Paul II.
Lengo letu ni kuwawezesha wanafunzi kupata maarifa ambayo yatawasaidia kuwa bora katika taaluma kitaifa pamoja na kuwapa elimu itakayowasaidia kutatua changamoto mbalimbali katika maisha.

Shule ya sekondari ya ST John Paul II imejikita kutoa elimu bora kupitia ufundishaji bora pamoja na mifumo mizuri ya kujifunza na kujifunzia kwa wanafunzi pia, kutengeneza mazingira ya upendo na umoja na kuishi kama familia.

Shule imesajiliwa kwa namba ya usajili S.5107

Kuhusu Sisi

11+

Masomo

300+

Wanafunzi

3+

Maabara

30+

Walimu

CHAGUA ST. JOHN PAUL II SEKONDARI

Shule imekuwa ikifanya vizuri kitaaluma katika ngazi ya wilaya, mkoa na taifa na kutoa matokeo mazuri kwa wanafunzi wake katika mitihani ya taifa kama inavyoonekana kwenye jedwali hapo chini:

KIDATO CHA PILI

MWAKA I II III IV 0
2022 39 6 0 0 0

KIDATO CHA NNE

MWAKA I II III IV 0
2022 26 6 0 0 0